Soma maoni ya waandishi waliofanya kazi nasi
March 16, 2022 at 2:00 pm
Tumefanya kazi na waandishi wengi wa vitabu ambao walituandikia maoni yao vile walijisikia walipopata huduma kwetu.
Baadhi ya maoni ya waandishi yako hapa chini, karibu kuyasoma.
Huduma utakazopata kwetu ni pamoja na;
- Ubunifu wa jalada la kitabu
- Ubunifu wa mpangilio wa ndani ya kitabu
- Uhariri/uhakiki wa kitabu
- Kupiga chapa kitabu
- Kuuziwa kitabu
Unapata ushauri wa bure kuhusu kazi yako. Pata ushauri sasa hivi kupitia link hapa chini