- Buy books
- Special offers
Ushindi katika hali ngumu
Kitabu hiki kimejibu swali hili kinaganaga ili kumpa msomaji maarifa muhimu ya kujitengenezea ushindi apitapo katika hali ngumu. Watu wengi wapitapo katika hali ngumu hujikuta wapo peke yao; hakuna mfariji, wala watu wa kuwatia moyo.