Siri 30 za kuwa mwandishi bora wa vitabu
Baada ya kusoma kozi hii, utaweza kufanya mambo yafuatayo;
- Kuandika kitabu kizuri cha ndoto yako, kupanga bajeti ya kukitoa na kukifikisha kwa wasomaji
- Kukuza jukwaa lako kama mwandishi
- Utajua jinsi ya kutoa eBook bora kwa wasomaji kwa kuzingatia vitu muhimu
- Utajua jinsi ya kutengeneza launch team unapotaka kufanya uzinduzi wa kitabu na namna ya kupanga bei ya kitabu
Recommended for you
![Kitabu unachoandika lazima kiwe na sifa hizi](https://site-925305.mozfiles.com/files/925305/catitems/thumb/DQLeZU2JpyWRE8EAmfqsUIZJsa2mMWVvuxCjjVPg-80664f2cdff5c11745a2c24676d5b886.png)
Kitabu unachoandika lazima kiwe na sifa hizi
TZS 15,000