- Buy books
- Special offers
Chochea Kipaji Chako
Kitabu hiki ni nyenzo muhimu kwa mtu mwenye kipaji. Zipo kanuni na mbinu muhimu za kumsaidia kila mwenye kipaji kufanya vizuri sokoni. Pesa hufuata harufu ya ubora. Ukifanya kwa ubora kwenye kipaji chako lazima watu wanaofaidi kipaji chako wakulipe vizuri.