- Buy books
- Special offers
Kipaji bila ladha
Topiki ya kipaji ni pana sana na haiwezi kuzungumzwa na kwisha. Kwenye kijitabu hiki nimezungumzia sana kuhusu ladha kwenye kipaji. Fikiria una kipaji halafu hakina ladha? Hahaha hivi inakuwaje? Enewei ndicho nilichozungumzia kwenye kijitabu hiki.