- Buy books
- Special offers
Unatengenezaje fursa kwenye maisha?
Kitabu hiki kimelenga kukupa maarifa ya fursa zinatengenezwaje. Baada ya kusoma kitabu hiki, kiu yetu ni kuona, unaamka hapo ulipo na kuanza kutengeneza fursa. Ukisubiri zije unaweza chelewa sana kufanikiwa.