Mwongozo wa malezi bora ya watoto
Ndani ya kitabu hiki utapata fursa ya kujifunza juu ya tabia na changamoto mbalimbali walizonazo watoto, sababu zake na namna ya kukabiliana nazo.
Kitabu hiki pia kitakusaidia sana kuboresha malezi unayoyatoa kwa watoto wako kwani kitakupa majibu kwa maswali mengi ambayo huwa unajiuliza kuhusu watoto bila kupata majibu yake kwa wepesi.
Mambo mengi ya kitaalamu kuhusu watoto yameelezwa kwa lugha rahisi ili kuweza kueleweka kirahisi hata kwa mzazi au mlezi asiye na elimu kubwa au ujuzi kuhusu malezi na saikolojia ya watoto.
Nakuhakikishia mlezi mwenzangu kuwa hutajuta kusoma kitabu hiki na utakuwa balozi mwema wa hiki kitabu kwa wazazi na walezi wengine, usisite pia kutafuta kitabu changu kingine cha MWONGOZO KWA MALEZI BORA YA VIJANA.
Recommended for you
Mwongozo wa malezi bora ya vijana
TZS 20,000
Shujaa wa malezi
TZS 10,000
Muda na Wazazi
TZS 15,000
A guide to proper upbringing of children
TZS 20,000
A guide to proper upbringing of youth
TZS 20,000