Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Ndoa Bora yenye Upako, Amani na Upendo wa Kweli
Ni mapenzi ya Mungu uwe na ndoa bora ya kuigwa. Ndoa bora ya kuigwa ni ndoa yenye UPAKO, AMANI NA UPENDO WA KWELI.
Ndoa nyingi zimekuwa hazina upako, amani na upendo wa kweli, hivyo kukosa sifa ya kuwa ndoa bora ya kuigwa kwa sababu wanandoa wengi hawana maarifa ya ki-ungu kuhusu ndoa.
Katika kitabu hiki Mch Jackson na mke wake wanafunua kweli ya Mungu itakayokupa maarifa ya ki-ungu ambayo ni ufunguo wa kukuwezesha kuwa na ndoa bora ya kuigwa.