Kila mtu ana ndoto lakini si wote wanaofikia ndoto zao. Kitabu hiki kitakupa maarifa ya kukusaidia kufikia ndoto yako bila kujali upinzani wowote.