Shangwe Bethlehem ya Uyahudi ni
kitabu kinachohusu historia ya Bwana Yesu.
Kulingana na mwandishi wa kitabu
cha Mathayo katika Biblia, vizazi vyote tangu Ibrahimu hata Daudi ni vizazi
kumi na vinne; na tangu Daudi hata ule uhamisho wa Babeli ni vizazi kumi na
vinne; na tangu ule uhamisho wa Babeli hata Kristo ni vizazi kumi na vinne.
Kitabu kimeelezea kwa kirefu kwanini Yesu alizaliwa katika katika mji wa
Bethlehem hususani kabila la Yuda. Pia ndani ya kitabu hiki mwandishi
ametafsiri maana ya Zawadi tatu zilizotolewa na Mamajusi kwa mtoto Yesu, Yaani
Dhahabu, Uvumba na Manemane
Kwa mawasiliano zaidi +255 655 888 223 [Farida Dar es salaam] na +255 787 163 013 [DL Bookstore Arusha]
Furahia punguzo la 42% unapoweka oda sasa kabla ya tarehe 31.12.2022. Utakuwa umefanikiwa kuweka oda yako baada ya kuilipia. Unaweza kulipia kiasi chote au ukalipia kidogo kidogo.
BEI: Tsh. 7000 Tsh. 12000
Ingiza taarifa hapa chini