Maisha na Wito Uliotukuka wa Baba Askofu John Ramadhani
Mwenendo wa Askofu katika kumuwakilisha Yesu Kristo Katika jamii hata jamii ikakushuhudia hivyo ni msingi wa agizo la Bwana wetu Yesu Kristo. Yesu alituambia mtu akita kunifuata na ajikane nafsi yake, kisha ajitwike msalaba wake anifuate kila siku – Luka 9:23-25.
Huduma ya Baba Askofu John Ramadhani ilijikita katika kuiishi aya hii. Mbinu zake za kuyaishi haya zinavutia na kufurahisha. Alikuwa mtu muadilifu mwenye utumishi usiolaumika.
Karibu tujifunze mbinu zake katika kuishi Maisha ya Kikristo yenye tija katika Kanisa la Mungu.
Mapendekezo kwa ajili yako

Mduara wa dhambi

Nguvu ya Maamuzi
TZS 7,000

Agano Lililo Bora