Anza kuuza kitabu chako kwenye tovuti yetu na kufikia wasomaji zaidi

Kitabu chako kitaonwa na watu wengi, utalipwa kwa wakati na kupata ripoti ya mauzo ya kila mwezi kwenye barua pepe yako

Faida za kutuchagua sisi


LIPWA 70%

Wewe unapata zaidi! Utalipwa 70% kwa kila mauzo ya kitabu

PATA RIPOTI YA MAUZO YA KILA MWEZI

Katika barua pepe yako, mwishoni mwa kila mwezi utapokea ripoti yako ya mauzo. Hii itakusaidia kufuatilia mauzo ya kitabu chako.

KITABU CHAKO KINAONEKANA ZAIDI

Kitabu chako kitatangazwa katika akaunti zetu za mitandao ya kijamii na orodha ya barua pepe ya wasomaji wa kitabu zaidi ya 500 na n.k.

MOCKUP YA BURE

Unapata mockup ya bure ambayo utatumia kutangaza kitabu chako na kupata idadi kubwa ya watu watakaokiona kitabu chako

HATUA TATU RAHISI

Jinsi ya kuanza kuuza kitabuNi rahisi sana kuuza yako na sisi. Kitabu chako ni mkondo mwingine wa mapato na tunafurahi kukusaidia kuuza

1.

Andaa vitu vinavyohitajika

Unahitaji kuwa na upande wa mbele wa kitabu chako (katika fomati ya jpg/png), maelezo ya kuhusu kitabu chako (katika fomati ya docx) na eBook yako (katika muundo wa pdf) au angalau nakala ngumu tano za kitabu chako.

2.

Soma Vigezo na Masharti yetu

Unahitaji kusoma na kukubali Vigezo na Masharti yetu. Kuelewa haki zako kama mwandishi na jinsi tunavyofanya kazi ni muhimu sana. Soma T&C's yetu hapa

3.

Uko tayari kuwasilisha kitabu chako?

Karibu!. Unaweza kupakia vitu ulivyoandaa kwa urahisi hapa. Tutakuwa na muda wa kupitia maelezo yako ya kitabu na kuona kama kila kitu ni juu ya kiwango. Ndani ya siku 1-3, kitabu chako kitapatikana kwenye tovuti yetu na kiungo cha kitabu chako utatumiwa kwenye barua pepe yako. 

WAANDISHI WENYE FURAHA

Mahali ambapo hadithi za mafanikio zinazaliwaWaandishi wasio na hesabu wamekuwa wakifurahia kuuza vitabu vyao kwenye tovuti yetu. Wana neno kwa ajili yako kujiunga na jukwaa letu pia

Cart

Cart is empty.