Siri 30 za kuwa mwandishi bora wa vitabu
Siri 30 za kuwa mwandishi bora wa vitabu ni kozi maalumu iliyoandaliwa kiustadi na DaudiPages kukupa wewe maarifa na ujuzi muhimu kwenye uandishi wa vitabu. Baada ya kusoma kozi hii, utakuwa umejifunza mambo yafuatayo;
- Kuandika kitabu kizuri cha ndoto yako.
- Kujua namna ya kufikisha kitabu kwa wasomaji wako.
- Kufanya uzinduzi wa kitabu na kupanga bei ya kitabu.
- Kukuza jukwaa lako kama mwandishi.
- Kupanga bajeti ya kutoa kitabu na kukitoa kitabu chako kwa bajeti finyu utakayokuwa nayo.
- Utajua jinsi ya kutoa eBook bora kwa wasomaji kwa kuzingatia vitu muhimu
- Utajua jinsi ya kutengeneza launch team unapotaka kufanya uzinduzi wa kitabu
Machache kuhusu kozi hii
- Hii ni kozi ya siku 8. Siku 6 za kusoma, siku 1 ya reflection na siku nyingine 1 ya mtihani.
- Nitakupa cheti cha kuhitimu baada ya kumaliza kozi. Kozi itakuwa delivered kwa mfumo wa mail-based system. Utahitaji kuwa na email na nitakupatia password. Uta sign in mara moja tu kwa siku ya kwanza. Siku zinazofuata huhitaji ku sign in tena
- Kwenye email yako utapata mada kwenye mfumo wa maandishi na audios.
- Utachagua kusikiliza ama kusoma. Kila mwishoni mwa mada kuna zoezi la kukuchangamsha.
Kozi ilishaanza tayari. Jisajili hapa
Una maswali kuhusu kozi hii? BOFYA HAPA kwa msaada zaidi