Unatamani kuandika kitabu? Fuata hatua hizi 4
Unatamani kuandika kitabu lakini unakwama? Tumekuandalia hatua hizi nne rahisi za kukusaidia wewe kutimiza ndoto yako ya kuandika kitabu chako. Fuata hatua hizi nne,
[Kitabu kipya] Kwanini 'Kwa Heri Chuo Kwa Heri Mafanikio'
Mwandishi wa Kitabu cha Deni la Dhahamu na vingine, Gastor Mtweve amekuja na kitabu kipya. Kitabu cha tofauti chenye mtazamo fikirishi kwa wadau wote wa elimu ya juu na ajira kwa ujumla. Kitabu cha KWA HERI CHUO, KWA HERI MAFANIKIO ni kitabu ambacho hupaswi kukikosa. Kama mzazi mwenye watoto wanaosoma, kijana unayetarajia kwenda chuo, kijana ambaye umehitim chuo, kitabu hiki ni muhimu kwako.
Unapata changamoto kuuza kitabu chako?
Hata kama haisemwi na waandishi wengi, lakini ukweli unabaki kuwa waandishi wanaugulia maumivu ya ndani kwa ndani wanapoona vitabu vyao haviuzi.
Mimi pia, kama
mwandishi, naelewa ninachosema. Wakati natoa kitabu changu cha
kwanza, nilikuwa na matarajio kuwa, ndani ya miezi michache tu,
nakala 500 ambazo nilikuwa nimetoa zingeisha haraka sana, halafu
nitoe nyingine zaidi. Lakini haikuwa hivyo. Hata hivyo sikukata
tamaa.
[Mpya] Soma vitabu hivi ufuge kuku kitalaamu
Maarifa ya ufugaji wa kuku, sasa yapo karibu na wewe kuliko hapo awali tena kwa gharama nafuu tofauti na kama ungeenda chuo kusoma kwa miaka mingi. Mtalaamu wa ufugaji wa kuku, Mr. Mujaya Jones Mujaya ameandika vitabu hivi viwili ambavyo ukivisoma vitakupa hamasa ya wewe kupiga hatua ya kuanza ufugaji wa kuku kitaalamu.
[New Book] Great news! Another Side of Love is now out
Great news! We are happy to tell you that the new book Another Side Of Love authored by Dr. Stanlaus Luwanda has been released. We had a chat with the author about his new book and he sent us the summary of the book;
Soma maoni ya waandishi waliofanya kazi nasi
Tumefanya kazi na waandishi wengi wa vitabu ambao walituandikia
maoni yao vile walijisikia walipopata huduma kwetu.
Baadhi ya maoni ya waandishi yako
hapa chini, karibu kuyasoma.
Kama mwandishi wa vitabu unataka kufanikiwa kwenye nini?
Chapisho hili tumelitoa katika blogi ya Daudipages
Kuna utafiti
nilishiriki hivi majuzi wa Belinda K Griffin kutoka
SmartAuthorsLab.com ambao ulitaka kujua, wewe kama
mwandishi unataka kufanikiwa kwenye nini? Ulikuwa ni kuchagua moja
kati ya majibu haya;
Kuandika kitabu inahitaji jambo moja tu.
Huwa inaonekana kama kuandika kitabu inataka ufanye mambo mengi sana ambayo, kwa wanaoingia kwenye uandishi kwa mara ya kwanza, huonekana yanachanganya mno. Habari mbaya ni kuwa, wengine hukata tamaa wanapoona mchakato kuwa mgumu, lakini leo nataka kuamsha ndoyo yako ya kuandika kitabu inayotaka kufa.
Jinsi ya kujenga jukwaa lako kama mwandishi - 2
Kati ya mambo mengi yanayowatatiza waandishi wengi wa vitabu ni kujua maana ya jukwaa la mwandishi ni nini? na jinsi ya kulijenga jukwaa lako kama mwandishi ili kuuza vitabu vyako. Kwa sababu hili ni jambo muhimu kujua, chapisho la leo litajikita kueleza hili kwa kina;
Jinsi ya kujenga jukwaa lako kama mwandishi - 1
Kati ya mambo mengi yanayowatatiza waandishi wengi wa vitabu ni kujua maana ya jukwaa la mwandishi ni nini? na jinsi ya kulijenga jukwaa lako kama mwandishi ili kuuza vitabu vyako. Kwa sababu hili ni jambo muhimu kujua, chapisho la leo litajikita kueleza hili kwa kina;
[New Book] Employers’ Common Mistakes under Labour Laws is set to be released

#Kitabukipya: Faragha ya Kiroho sasa kipo sokoni.

Mwandishi wa vitabu na mwangalizi wa Bread of Life Teaching Ministry, Meinrald A. Mtitu ametoa kitabu kingine - Faragha ya Kiroho. Ametuandikia kipande kidogo kuhusu kitabu chake, anasema kwamba;
#Kitabukipya: Mtitu aachia kitabu kipya tena.
Mwandishi wa vitabu, Meinrad Mtitu ameachia kitabu kipya tena kinachokwenda kwa jina la Kiongozi Aliyechoka. Pata kionjo cha kitabu hiki katika muhtasari ufuatao;
HADITHI FUPI: Mambo ya Saluni
“NIKWAMBIE basi shoga’angu!” Hidaya anamwambia Joyce.
“Uniambie nini tena kama si umbeya?” Joyce anamwuliza shoga’ke.
“Nitakuwa sikwambii mie. Ohoo!” Hidaya anatema mkwara.
Mkwara unamwingia Joyce. Alivyo na hamu na kuambiwa, ataikosaje stori inayokuja? Anakuwa mpole ghafla. “Basi jamani pleeeeaaaaaase niambie.”
Unaupataje muda wa kuandika kitabu?
Swali gumu ambalo kila mtu anayetaka kuandika kutabu hujiuliza ni, “napataje muda wa kuandika kitabu? Majibu ya swali hili si magumu wala si mepesi kwa sababu kila mtu ana masaa yale yale 24 lakini kuna mwingine ataweza kuandika kitabu na mwingine atashindwa kuandika kitabu.
Ushauri: Mwandishi wa vitabu fanyia kazi mambo haya 4 ufanikiwe zaidi.
Kwenye tasnia ya uandishi wa vitabu hakuna msahafu mmoja wa kuufuata ili ufanikiwe kwenye uandishi. Kila siku kuna njia mpya na mambo mapya ya kufanya ili uandishi wako uwe na mafanikio. Mara nyingi mafanikio kwenye uandishi wa vitabu ni kuona matunda ya kazi yako na kuyafaidi.
Fanya mambo haya 3 uuze sana kitabu chako
Ndoto ya kila mwandishi anapoandika kitabu ni kuuza nakala za kutosha. Kitabu chako kinapoingia sokoni unafanya kila unaloweza kiuze na kama hakiuzi lazima ujiulize kwanini. Sasa tujiulize, mafanikio ya mwandishi kwenye kuuza kitabu chake huchangiwa na nini?
[Sababu 4] Ugumu wa kuandika kitabu uko wapi?
Watu wengi wanatamani sana kuandika kitabu lakini wanakwama wapi? Kila mtu ukimwuliza kuhusu ndoto yake ya kuandika kitabu atakwambia yuatamani sana kufanya hivyo lakini kwanini tuna watu wachache wanao thubutu kuandika?
Kwanini mwandishi afanye book cover makeover?
Fikiria una sekunde saba tu kumshawishi msomaji anunue kitabu chako ungefanya nini?. Katika kila utafiti unaofanyika kumwuliza msomaji nini kilimfanya akanunua kitabu fulani, asilimia kubwa husema jalada la kitabu lilikuwa na nafasi kubwa sana kumshawishi.
MAMBO 3 YA KUZINGATIA KUPATA JINA LA KITABU LINALOUZA SANA.
Jina zuri la kitabu lina uwezo wa kumnasa msomaji akataka kujua zaidi maudhui ya kitabu chako. Jina la kitabu ni maneno machache tu lakini linaweza kuwa ndoano ya kuwanasa wasomaji na ukauza nakala nyingi za kitabu chako.