Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Courses
  • Blog
  • Support

Download Vitabu 7 vya Fedha (PDF)

June 19, 2025 at 9:29 pm,

Mafanikio.jpg

Katika dunia ya sasa inayokumbwa na changamoto nyingi za kiuchumi, ni muhimu kuwa na maarifa sahihi kuhusu fedha. Watu wengi wanapokea pesa kila mwezi lakini hawayajui matumizi bora ya kipato chao. 


Wengine hukumbwa na madeni yasiyoisha au kushindwa kuwekeza kwa sababu ya kukosa elimu ya kifedha. DL Bookstore imekuandalia mkusanyiko wa vitabu 7 muhimu vya Kiswahili vinavyoeleza kwa kina, kwa lugha rahisi na mfano halisi, jinsi ya kusimamia, kuwekeza, na kukuza fedha zako.

1. Akili Iliyoponywa Kuhusu Fedha

Kitabu hiki kinakuonya dhidi ya kutumia fedha vibaya kama kununua magari kabla ya kuwekeza. Kinakufundisha kuweka kipaumbele katika kujenga mali zitakazokupa uhuru wa kifedha wa kweli.

Add to Cart


2. Mpenyo – Nidhamu ya Fedha

Hiki ni kitabu kinachokupeleka kwenye mizizi ya matatizo ya kifedha, kikikufundisha jinsi ya kukabiliana na tabia zisizofaa kwa kutumia mbinu za nidhamu na mabadiliko ya kimtazamo.

Add to Cart


3. Ijue Elimu ya Fedha

Kinazungumzia namna ya kuandaa bajeti, kuweka akiba, kuepuka madeni, na kuwekeza kwa busara. Ni mwongozo bora wa kujenga msingi wa maisha ya kifedha yaliyo imara.

Add to Cart


4. Fursa, Utashi na Uhuru wa Fedha

Kitabu hiki kinakufundisha kutambua fursa, kukuza utashi wa mafanikio na kujiwekea malengo ya kifedha yatakayobadilisha maisha yako hatua kwa hatua.

Add to Cart

Best. Affordable. Timely.

Helping authors to publish, market, and sell their books

We've completely transformed the way authors get their books published and reach the hands of book readers.

Get started →

5. Mambo 7 ya Muhimu Kuhusu Fedha

Kitabu hiki kinaeleza mambo saba ya msingi kuhusu fedha ambayo ukiyajua na kuyatendea kazi, yatabadilisha kabisa hali yako ya kifedha.

Add to Cart


6. Ichaji Akili Yako ya Fedha

Kiwango cha pesa unachoweza kumiliki kinatokana na akili yako ya fedha, si aina ya kazi au kipato. Kitabu hiki kinakuonesha njia ya kubadilisha fikra zako.

Add to Cart


7. Wewe na Pesa

Kitabu hiki kinagusa changamoto halisi kama madeni, ukosefu wa mtaji, na kutotimia kwa ndoto. Kinakupa mbinu za kifedha kwa maisha bora ya leo na kesho.

Add to Cart

Start selling your book or course on our website — reach more readers

You will enjoy high book visibility, get paid on time and receive a monthly sales report straight to your inbox.

Start selling →

Hitimisho

Vitabu hivi 7 ni hazina ya maarifa ya kifedha kwa mtu yeyote anayetaka kuboresha hali yake kiuchumi. Vimeandikwa kwa Kiswahili fasaha na vinaeleweka kwa urahisi. Huu ni wakati wa kuwekeza katika maarifa yatakayobadilisha maisha yako.

Tembelea tovuti yetu kwa vitabu vingine zaidi vya fedha, biashara, imani, uandishi, mahusiano na zaidi:
www.dlbookstore.com



Recent Posts

  • Faida za Kuhariri Kitabu kwa Waandishi na Njia za Kukamilisha Uhariri
    1 Dec, 2025
  • Ukitumia njia hizi, utapenda kusoma vitabu
    27 Nov, 2025
  • Siri 5 Unazopaswa Kujua Kutoka Kitabu: Jilipe Mwenyewe Kwanza
    10 Jul, 2025
  • Mambo 10 ya Kujifunza Kutoka Kitabu cha Hamasika Kila Siku
    29 Jun, 2025
  • Download Vitabu 7 vya Fedha (PDF)
    19 Jun, 2025
  • Kutoka Daftari Hadi Kitabu Halisi: Jinsi ya Kugeuza Maandishi Yako Kuwa Kitabu
    16 May, 2025
  • Umechoka na Minyama Uzembe? Suluhisho la Kupungua Uzito Limepatikana!
    17 Apr, 2025

selling_book-1.png

Enroll in 100% free courses

100% free courses on writing, publishing, and marketing of books. Time to dive in!

Start learning →

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.