Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Courses
  • Blog
  • Support

Your Ultimate Guide to Buying Books on DL Bookstore

31 Jul, 2024,

Hatua_za_kununua_kitabu_2.jpg

Jinsi ya Kununua Kitabu

Fuata hatua hizi kwa urahisi na ukamilishe malipo bila usumbufu

Fuata hatua hizi kwa urahisi

1

Bonyeza Add to Cart

2

Bonyeza Checkout

3

Jaza taarifa zako muhimu (jina, email, namba ya simu)

4

Bonyeza Continue na angalia muhtasari wa oda

5

Bonyeza Buy Now

6

Kisha bonyeza Pay Now kukamilisha malipo

Muhimu: Tumia namba yenye salio. Baada ya Pay Now angalia simu yako kuweka password kuthibitisha malipo.

Utapokeaje Kitabu?

Softcopy (PDF)

  • Download page itafunguka baada ya malipo
  • Link itatumwa email

Hardcopy

  • Chagua delivery wakati wa checkout
  • Basi au kuchukua dukani

Maswali (FAQ)

Oda haioneshi?
Mtandao unaweza kuwa dhaifu. Jaribu VPN.
Namba haina hela?
Rudia oda kwa namba yenye salio.
Oda imefeli?
Hakikisha umeweka password kwenye simu yako baada ya Pay Now.
Naweza kununua zaidi ya kimoja?
Ndiyo, add to cart mara nyingi kabla ya checkout.
Nimeongeza vingi kwa bahati mbaya?
Tumia + au – kwenye checkout kurekebisha.

Unahitaji Msaada zaidi?

Email WhatsApp

Recent Posts

  • Nukuu 24 Bora kutoka kitabu cha Hisa, Hatifungani, Vipande
    8 Apr, 2026
  • Book review: Hisa, Hatifungani, Vipande - Uwekezaji kwa Ukuaji wa Mtaji na Kipato Endelevu
    6 Apr, 2026
  • Siku ya Wanawake: Sherehekea Siku Yako na Maarifa
    7 Mar, 2026
  • Unahitaji nini ili uuza kitabu chako dlbookstore.com
    2 Mar, 2026
  • Kijana anasoma vitabu kama hivi (Download vitabu 10 hapa)
    13 Jan, 2026
  • Vitabu Nane (8) vya Elimu ya Fedha - PDF Download
    21 Dec, 2025
  • Tumia mbinu hizi rahisi na uwe miongoni mwa 1% wanaomaliza kusoma vitabu
    5 Dec, 2025

Categories

  • Book Recommendations
  • Book Reviews
  • Help & Support
  • Offers and discounts
  • Reading Habits & Tips
  • Writing, Publishing & Author Support

Start selling your book or course on our website — reach more readers

You will enjoy high book visibility, get paid on time and receive a monthly sales report straight to your inbox.

Start selling →

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
DL Bookstore © 2026. All rights reserved | Made with ❤️ in Tanzania.