Bestselling Books of August: Uncover the Best Reads of the Month
As usual, every month we bring you the best books purchased on our DL Bookstore website. For August, many books captivated our readers' hearts, ranging from religious books, relationships, personal development, to business and investing.
Did you miss seeing the list of best-selling books for July? Visit here to check out the July list.
Truly, this is an opportunity for you to discover new books to gain new knowledge and entertain yourself. Without further delay, here is the list of the best-selling books for August.
1. Agano lililo bora. Je! Unaona ugumu katika kumtumikia Mungu mahali ulipo mpaka unatamani kuacha huduma na kuhamia eneo lingine, wakati unajua kabisa ndani yako kuna wito wa kumtumikia Mungu?
Unatamani kupata matokeo mazuri katika kila unalolifanya, lakini kinachokuja kwako sicho ulichotarajia, na kwa kadiri unavyopambana kujinasua unaona kama milango yote imefungwa na hujui nani anayefunga.
Unaona upinzani mkubwa sana katika huduma, ndoa, familia, kazini kwako na hujui wapi upinzani unatokea na hujui namna gani upinzani huo utakwisha ili uwe huru?. Kitabu hiki cha Agano Lililo Bora kitakuwa msaada kwako katika kujua ni nini kipo nyuma ya hayo na utapataje unayoyatarajia katika huduma, afya, elimu, uchumi, ndoa na familia.
2. Jinsi ya kumtongoza mwanamke yeyote ukampata. Kutongoza ni Sayansi ya Akili, na tunaelewa wanaume wengi hawajui kutongoza kwa usahihi, ingawa hawawezi kukiri kwamba hawajui. Ndani ya kitabu hiki Dkt. Dyaboli anafundisha Mbinu 7 Rahisi za Utongozaji ambazo zimesaidia mamilioni ya wanaume duniani kote.
Anafafanua pia aina za utongozaji, sifa wanazotaka wanawake mwanume awe nazo, mambo ambayo hutakiwi kufanya unapokuwa unamtongoza mwanamke na Kanuni ya Dhahabu ambayo haijawahi kufeli!
3. Mbinu rahisi za kuandika kitabu. Aliwahi kusema Kate Grenville, mwandishi wa vitabu, kuwa; “hakuna anayezaliwa anajua kuandika lakini ni ujuzi ambao kila mtu anaweza kujifunza na kwa kadiri unavyoendelea kuandika ndivyo mchakato unavyokuwa rahisi zaidi”.
Hivyo basi, ni matumaini yangu ukimaliza kusoma kitabu hiki utaweza kuandika kitabu cha ndoto yako, lakini usisahau kunijpatia mrejesho mara uanzapo kuandika kitabu chako, nitafurahi sana!.
4. Jikomboe kiuchumi na ujasiriamali. Kitabu kizuri kwa anayetaka kuingia katika ujasiriamali. Utajifunza jinsi ya kutengeneza bidhaa mbalimbali kama vile sabuni, mishumaa na n.k
Buy here https://www.dlbookstore.com/books/item/swahili-books/uchumi-na-biashara/jikomboe-kiuchumi/
5. Kipaji bila ladha. Topiki ya kipaji ni pana sana na haiwezi kuzungumzwa na kwisha. Kwenye kijitabu hiki nimezungumzia sana kuhusu ladha kwenye kipaji. Fikiria una kipaji halafu hakina ladha? Hahaha hivi inakuwaje? Enewei ndicho nilichozungumzia kwenye kijitabu hiki.
We have many more books, visit here and choose the book you like. Did you know that you can get a discount of up to 15%? There is a large selection of books that have been chosen for a price discount, visit here to see the list
Have any comments? Write to us in the comment section below.