Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
JINSI YA KUMTONGOZA MWANAMKE YEYOTE UKAMPATA: Mbinu 7 Rahisi Zilizosaidia Mamilioni ya Wanaume Duniani Kote
JINSI YA KUMTONGOZA MWANAMKE YEYOTE UKAMPATA ni kitabu cha Mwongozo wa Wanaume ambacho kinaichambua Sayansi ya Utongozaji.
Kutongoza
ni Sayansi ya Akili, na tunaelewa wanaume wengi hawajui kutongoza kwa usahihi,
ingawa hawawezi kukiri kwamba hawajui. Ndani ya kitabu hiki Dkt. Dyaboli
anafundisha Mbinu 7 Rahisi za Utongozaji ambazo zimesaidia mamilioni ya wanaume
duniani kote.
Anafafanua
pia aina za utongozaji, sifa wanazotaka wanawake mwanume awe nazo, mambo ambayo
hutakiwi kufanya unapokuwa unamtongoza mwanamke na Kanuni ya Dhahabu ambayo
haijawahi kufeli!
Hakika, hiki ni Kitabu ambacho kila Mwanaume wa Kweli
anapaswa kukisoma.