Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support

Free Webinar: Jinsi ya kuuza kitabu kwenye website ya DL Bookstore

August 22, 2024 at 3:26 pm,

free_webinar.jpg

Je, wewe ni mwandishi unayetaka kuuza kitabu chako mtandaoni na kufikia wasomaji wengi zaidi? DL Bookstore inakualika kwenye webinar maalumu ambayo utajifunza jinsi ya kuuza kitabu chako kwenye website ya DL Bookstore.


Katika webinar hii, tutazungumzia mambo muhimu yatakayokusaidia kuanza safari yako ya kuuza vitabu mtandaoni, ikiwa ni pamoja na:

Unlock your 15% off discount

Get any book you would love to read for almost free!

UNLOCK YOUR DISCOUNT →

  1. Nini kinatakiwa ili uanze kuuza kitabu (mambo ya kuandaa)
  2. Jinsi ya ku upload kitabu (ku submit details za kitabu chako)
  3. Unajuaje kitabu kipo hewani kwenye website
  4. Jinsi ya kuitumia mockup ya kitabu
  5. Kuielewa report ya mauzo na kupata malipo ya kitabu chako
  6. Faida za kuuza kitabu kwenye website
  7. Na mengine mengi ambayo tutajifunza

Usikose nafasi hii ya kipekee ya kujifunza jinsi ya kuuza kitabu chako mtandaoni! Mafunzo haya ni bure kabisa, na tunakualika ujisajili mapema ili usipitwe.

Tarehe: 24.08.2024

Muda: Saa nne kamili asubuhi

Kiungo cha Kujiunga: Jiunge hapa

BEST. AFFORDABLE. TIMELY

YOUR STORY, OUR MASTERPIECE.

Our comprehensive author services include captivating book cover design, precise layout design, thorough book editing, flawless translation, and premium printing. Collaborate with us to elevate your manuscript and create a book that truly shines.

GET STARTED → GET IN TOUCH →

Tafadhali jisajili mapema kupitia kiungo hiki: https://live.zoho.com/ayVTUt6K6s

Karibu sana na tunatarajia kukuona kwenye webinar yetu!



Recent Posts

  • Download Vitabu 7 vya Fedha (PDF)
    19 Jun, 2025
  • Kutoka Daftari Hadi Kitabu Halisi: Jinsi ya Kugeuza Maandishi Yako Kuwa Kitabu
    16 May, 2025
  • Umechoka na Minyama Uzembe? Suluhisho la Kupungua Uzito Limepatikana!
    17 Apr, 2025
  • Vitabu Bora vya Pasaka vya Kukuimarisha Kiroho – Vinapatikana Sasa DL Bookstore
    11 Apr, 2025
  • 4 Benefits of Selling Your Book Through DL Bookstore
    20 Mar, 2025
  • Download Entrepreneurship Books (PDF) in Swahili
    10 Feb, 2025
  • Download Nine (9) Must-Read Books for Girls and Women 📚✨
    4 Feb, 2025

selling_book-1.png

Enroll in 100% free courses

100% free courses on writing, publishing, and marketing of books. Time to dive in!

Start learning →

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.