Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support

Top 7 Bestselling Books of July: Uncover the Best Reads of the Month

August 7, 2024 at 7:53 pm,
July_bestselling.jpg
As the days grow longer, it's the perfect opportunity to immerse yourself in a great book. July has brought us a collection of outstanding reads that have captured the hearts and minds of our readers. From spiritual enlightenment to financial insights and practical know-how, these bestsellers offer something for everyone. Be sure to also check out our previous list of top-sellers from June for more inspiring choices.

1. Ufuasi: Agizo Kuu la Yesu Kristo kwa Kanisa

Ufuasi ndio agizo na kusudi kuu la Kanisa. Bila wafuasi hakuna kanisa. Leo katika Makanisa tumejaza waaminio wengi na Wafuasi wachache. Changamoto kubwa ya Kanisa ni kuwafanya watu waliomwamini na kumfuata Kristo kukua na kukia viwango vya kuwa ni wafuasi halisi wa Yesu Kristo.

Buy Ufuasi here

2. Elimu Ya Uwekezaji

Kitabu cha Elimu ya uwekezaji ni kitabu ambacho kinajadili kanuni na dhana za msingi za uwekezaji. Kitabu hiki kinatoa ufahamu na mwongozo juu ya jinsi ya kuelewa, kuchanganua, na kufanya maamuzi ya uwekezaji ambayo yanaweza kusaidia kufikia malengo ya kifedha.

Buy Elimu Ya Uwekezaji here

3. Nguvu ya Msamaha

Katika kitabu cha “Nguvu ya Msamaha” Rev. Mtume Francis Epimack Mbago, anaelezea kwa undani kanuni ya msingi katika maisha ya ushindi wa mkristo: “Msamaha”. Kutokuijua au kuipuuzia kanuni hii kumesababisha watu wengi waishi katika mateso, magonjwa na maradhi yasiyo ya lazima.

Buy Nguvu ya Msamaha here

Unlock your 15% off discount

Get any book you would love to read for almost free!

UNLOCK YOUR DISCOUNT →

4. Kanuni 21 za Kibiblia Kuhusu Utoaji

Somo la utoaji ni moja ya masomo muhimu kabisa katika Ukiristo. Imani yetu imejengwa juu ya msingi wa utoaji. Mungu wetu ni mtoaji na utoaji ni moja ya tabia yake. Maisha ya utoaji yanadhihirisha Ukiristo halisi. Katika utoaji ndipo tunapoweza kuakisi na kushiriki katika sifa na tabia ya Mungu ya upendo.

Buy Kanuni 21 za Kibiblia Kuhusu Utoaji here

5. Jikomboe Kiuchumi na Ujasiriamali

Kitabu kizuri kwa anayetaka kuingia katika ujasiriamali. Utajifunza jinsi ya kutengeneza bidhaa mbalimbali kama vile sabuni, mishumaa na n.k.

Buy Jikomboe Kiuchumi na Ujasiriamali here

6. Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke Yeyote Ukampata

Kutongoza ni Sayansi ya Akili, na tunaelewa wanaume wengi hawajui kutongoza kwa usahihi, ingawa hawawezi kukiri kwamba hawajui. Ndani ya kitabu hiki Dkt. Dyaboli anafundisha Mbinu 7 Rahisi za Utongozaji ambazo zimesaidia mamilioni ya wanaume duniani kote.

Buy Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke Yeyote Ukampata here

CALLING ALL AUTHORS!

We're excited to invite you to sell your books with us. Whether you have hardcopies or softcopies, our store is the perfect place to showcase and share your work with a broad audience

START SELLING →

7. Mjue na Kumtambua Roho Mtakatifu

Kitabu hiki cha MJUE NA KUMTAMBUA ROHO MTAKATIFU ni miongoni mwa vitabu vilivyochambua na kuelezea kwa kina kuhusu ROHO MTAKATIFU hasa kwa kuchanganua kuhusu maana ya ROHO MTAKATIFU, utendaji wake, tabia zake pamoja na ubatizo wa ROHO MTAKATIFU.

Buy Mjue na Kumtambua Roho Mtakatifu here

These top-selling books offer a wealth of knowledge and inspiration, perfect for enriching your mind and soul. Don't miss out on these incredible reads, and stay tuned for next month's bestsellers!

YOUR STORY, OUR MASTERPIECE.

Our comprehensive author services include captivating book cover design, precise layout design, thorough book editing, flawless translation, and premium printing. Collaborate with us to elevate your manuscript and create a book that truly shines.

GET STARTED → GET IN TOUCH →

We'd love to hear from you! Share your thoughts on these books or let us know your favorite reads in the comments below.



Recent Posts

  • Mambo 10 ya Kujifunza Kutoka Kitabu cha Hamasika Kila Siku
    29 Jun, 2025
  • Download Vitabu 7 vya Fedha (PDF)
    19 Jun, 2025
  • Kutoka Daftari Hadi Kitabu Halisi: Jinsi ya Kugeuza Maandishi Yako Kuwa Kitabu
    16 May, 2025
  • Umechoka na Minyama Uzembe? Suluhisho la Kupungua Uzito Limepatikana!
    17 Apr, 2025
  • Vitabu Bora vya Pasaka vya Kukuimarisha Kiroho – Vinapatikana Sasa DL Bookstore
    11 Apr, 2025
  • 4 Benefits of Selling Your Book Through DL Bookstore
    20 Mar, 2025
  • Download Entrepreneurship Books (PDF) in Swahili
    10 Feb, 2025

selling_book-1.png

Enroll in 100% free courses

100% free courses on writing, publishing, and marketing of books. Time to dive in!

Start learning →

Cart

Cart is empty.

Log in




Forgot password?
Create account
Login to existing account
My orders
My reviews
My details
Log out
  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2018 - 2025. All rights reserved.