Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Nguvu ya msamaha
Katika kitabu cha “Nguvu ya Msamaha” Rev. Mtume Francis Epimack Mbago, anaelezea kwa undani kanuni ya msingi katika maisha ya ushindi wa mkristo: “Msamaha”. Kutokuijua au kuipuuzia kanuni hii kumesababisha watu wengi waishi katika mateso, magonjwa na maradhi yasiyo ya lazima. Kanuni hii ni karama, au kipawa ambacho Mungu anakitoa kwa watu wake awapendao ili kuleta furaha na amani katika maisha yao. Kanuni hii ni tiba kwa sumu ya moyo inayoua taratibu bila kujulikana na watu wengi.