Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Books
  • Swahili books
  • Dini
  • Ufuasi: Agizo Kuu la Yesu Kristo kwa Kanisa

Ufuasi: Agizo Kuu la Yesu Kristo kwa Kanisa

  7,000.00 TZS
Add to cart  

Ufuasi ndio agizo na kusudi kuu la Kanisa. Bila wafuasi hakuna kanisa. Leo katika Makanisa tumejaza waaminio wengi na Wafuasi wachache. Changamoto kubwa ya Kanisa ni kuwafanya watu waliomwamini na kumfuata Kristo kukua na ku­kia viwango vya kuwa ni wafuasi halisi wa Yesu Kristo.

Katika kitabu hiki Mwalimu na Mchungaji Meinrald Mtitu, anachambua masuala muhimu kuhusu ufuasi, kama vile, Agizo Kuu La Yesu Kwa Kanisa, Ufuasi Ni Nini? Mfuasi Ni Nani? Uinjilist Na Ufuasi, Sifa Za Mfuasi Wa Kweli Wa Yesu, Gharama Za Kuwa Mfuasi Wa Yesu, Kanuni Za Ufuasishaji, Jinsi Wa Kuwafanya Wafuasi, Kudhoo­ka Kwa Ufuasi Na Nini Kifanyike.

Kitabu hiki kinafaa kwa kila Mtendakazi wa Kristo anayetaka kutii agizo kuu la kuwafanya mataifa kuwa wafuasi.



Others Also Bought

Mambo Muhimu kwa Mwalimu wa Biblia Unapoandaa Somo
Mambo Muhimu kwa Mwalimu wa Biblia Unapoandaa Somo
5,000.00 TZS
UFANYE NINI UNAPOPATWA NA MAGUMU?
UFANYE NINI UNAPOPATWA NA MAGUMU?
5,000.00 TZS
Chozi
Chozi
6,999.00 TZS
Mambo 23 Yamfanyayo Mwanamke Ajute Kuolewa
Mambo 23 Yamfanyayo Mwanamke Ajute Kuolewa
10,000.00 TZS

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • Return policy
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
DL Bookstore © 2026. All rights reserved | Made with ❤️ in Tanzania.