Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Mjue na kumtambua Roho Mtakatifu
Kitabu hiki cha MJUE NA KUMTAMBUA ROHO MTAKATIFU ni miongoni mwa vitabu vilivyochambua na kuelezea kwa kina kuhusu ROHO MTAKATIFU hasa kwa kuchanganua kuhusu maana ya ROHO MTAKATIFU, utendaji wake, tabia zake pamoja na ubatizo wa ROHO MTAKATIFU.
Kupitia kitabu hiki ndugu msomaji utaweza kujifunza pia kuhusu HUDUMA TANO KATIKA KANISA kama vile; mitume, mwinjilisti, nabii, mchungaji na Mwalimu. Kitabu hiki pia kimeelezea kuhusu KARAMA ZA ROHO MTAKATIFU, NINI MAANA YA KUMKUFURU ROHO MTAKATIFU, TUNDA LA ROHO pamoja na namna ROHO MTAKATIFU alivyotajwa Katika BIBLIA.