Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Dini
  • Roho Mtakatifu ni zawadi isiyo chakaa

Roho Mtakatifu ni zawadi isiyo chakaa

TZS 4,000
Add to cart  

Kitabu hiki “ROHO MTAKATIFU ZAWADI ISIYOCHAKAA” ni mzigo ambao Mungu ameweka moyoni mwangu baada ya mimi mwenyewe kujazwa ROHO MTAKATIFU mapema baada ya kuokoka. Nilimpokea Roho Mtakatifu mapema sana hata kabla sijapata Kanisa la kiroho la kuabudu, nilitamani kila mmoja apate zawadi hii ya ajabu. 

Katika mafundisho yangu ya kila mara, nimekuwa nikivutwa sana kuhusu Roho Mtakatifu hata ikiwa sifundishi somo hilo. Niligundua kwamba Mungu alitaka niwekeze zaidi kwa ajili ya Kanisa lake la sasa na la wakati ujao. Shauku hii ya ajabu inanifanya kuandika ili mwingine aliye mbali apate na aishi na kutembea katika uwepo huu wa Roho Mtakatifu.


Recommended for you

Njia Anazotumia Roho Mtakatifu Kutufikishia Ujumbe Wake
Njia Anazotumia Roho Mtakatifu Kutufikishia Ujumbe Wake
TZS 5,000
Add to cart
Mjue na kumtambua Roho Mtakatifu
Mjue na kumtambua Roho Mtakatifu
TZS 2,500
Add to cart
Moto wa Uamsho wa Roho Mtakatifu
Moto wa Uamsho wa Roho Mtakatifu
TZS 7,000
Add to cart

Cart

Cart is empty.

Log in




Forgot password?
Create account
Login to existing account
My orders
My reviews
My details
Log out
  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2018 - 2025. All rights reserved.