Online courses that turn writers into published authors.

Short, practical, self-paced lessons on writing, publishing and marketing — study in your browser whenever you have time.

Free writing & publishing courses

Learn to write, edit, and publish

These courses are brought to you by DL Bookstore and delivered through our learning partner, DaudiPages Academy — short, practical lessons taught by experienced authors and editors to help you write better, from your first idea to a finished book.

8+ Free courses
Swahili Taught in Swahili
Self-paced Learn on your own time

Get a certificate when you finish

Every course comes with a certificate of completion — a nice way to show what you've learned.

Ifahamu Mitindo ya Uandishi

Kila uandishi una mtindo wake, iwe kuandika riwaya, mashairi, pendekezo na n.k. Katika kozi hii utajifunza; mitindo minne ya uandishi na mambo ya kuzingatia unapoandika kuandika kitabu.

Andika Riwaya Kama Pro

Inawezekana umetamani sana kuandika riwaya, lakini hujui pa kuanzia. Katika kozi hii ya siku tano utajifunza mambo mbalimbali ikiwemo: wazo zuri la hadithi hutoka wapi?, nini umuhimu wa ubunifu, mbinu za kuisukuma hadithi na uhariri.

Jifunze Uandishi wa Makala Gazetini

Kuandika makala gazetini inakupa wigo au uwanja mpana wa wewe kama mwandishi kujitanua katika kazi zako za kiuandishi, na utalifikia kundi kubwa la watu kiurahisi zaidi.

Andika Mashairi Kama Pro

Katika kozi hii utajifunza, kutaja machache, maana ya ushairi, umbo la shairi, tenzi, msuko, mathnawi, uhuru wa mshairi na kadhalika. Ni kozi ya siku 5 ambayo itakupa ujuzi wa kukuwezesha kuandika mashairi mara umalizapo tu kusoma.

Kuhariri na Kukipitia Kitabu

Kitabu chenye makosa kinamwondolea ladha nzuri na tamu msomaji. Kwa hiyo kukipitia na kukihariri kitabu chako ni jambo lisilokwepeka. Inawezekana kitabu kikawa hakina makosa kwa asilimia 100%.

Hatua Nne Katika Uandishi wa Vitabu

Unapoingia katika uandishi wa vitabu, au tuseme, unataka kuwa mwandishi wa vitabu, na ni ndoto yako ambayo unataka kuitimiza, kuna hatua ambazo utatembea katika hizo, tunaita hatua katika uandishi wa vitabu.

Siri Nne za Kuuza Kitabu na Ukapata Mafuriko ya Mauzo

Kuuza kitabu ni sanaa inayohitaji ufahamu wa kina na mkakati madhubuti. Katika kozi hii ningependa kukushirikisha siri muhimu ambazo zitakusaidia kufikia malengo yako katika uuzaji wa vitabu.

Sanaa ya Ubunifu wa Jalada na Saikolojia ya Hadhira

Kozi hii imelenga kulielezea jalada la kitabu kwa kina na saikolojia ya hadhira. Tutajifunza haya; jalada kwa tafsiri yake, aina zake, tabia na kabila zake.

Want to go further?

These are just a selection of our courses available for free. Our partner, DaudiPages Academy, hosts a much larger catalog — including advanced and premium courses — for writers who want to keep learning.

Browse all courses