Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Books
  • English books
  • Textbooks
  • Mathematics Made Easy

Mathematics Made Easy

  TZS 10,000
Add to cart  

Je, mtoto wako ana changamoto katika somo la hisabati? Ungependa mtoto wako wa darasa la tatu amalize mada za darasa la nne bila yeye kufahamu kuwa amemaliza? Unatamani kuona mtoto wako wa darasa la nne anafanya marudio huku akijiandaa na mtihani wa taifa? Najua unapenda sana mtoto wako awe na msingi imara wa hisabati. Kuna wakati unatamani kumpa mazoezi mtoto wako lakini unayakosa? Natambua vile unavyopata shida kumuelekeza mtoto wako awapo na home work.

Ulitamani sana upate kitabu chenye mifano inayojieleza ili uitumie kumfundisha mtoto wako. Hivi unajua ugumu wa hisabati kwa watoto mara nyingi husababishwa na ugumu wa vitabu wanavyofundishiwa? Ulikuwa na kiu ya kupata kitabu cha hisabati rahisi ambacho dada na kaka wa mtoto wako wanaweza kukitumia kumfundishia mdogo wao?

Kitabu hiki cha MATHEMATICS MADE EASY kimekuja kujibu maswali yote hayo na kurahisisha hisabati kwa mtoto wako kwa gharama nafuu sana.


Others Also Bought

Fundamental Communication Skills
Fundamental Communication Skills
TZS 15,000
Add to cart

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.