Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Books
  • Swahili books
  • Dini
  • Faida za kutumika katika maono ya mtu mwingine

Faida za kutumika katika maono ya mtu mwingine

  TZS 5,000
Add to cart  

Katika siku za hivi karibuni  kumeibuka mtazamo sio mzuri sana kuhusu kuajiriwa. Watu wamefundishwa kufikiri  kwamba kuajiriwa ni kitu kibaya. Kimsingi watu wanafikiri kuajiriwan ni kumtajirisha aliekuajiri. Lakini kwa kweli hakuna kitu kizuri kama kuanzia kwenye kazi/maono ya mtu mwingine. Makosa mengi ambayo tunayafanya kwenye maono yetu mara nyingi  inakuwa ni gharama ya kukosa uzoefu ambao kwa usalama Zaidi tungeupata kwenye kazi za watu wengine. Na kuwa huwezi kuwaambia watu wakufuate kama wewe hauna mtu unaemfuata au hujawahi kumfuata. Ndio maana nimeandika hiki kitabu hiki. Si ili kukuonesha faida za kutumika katika maono ya mtu mwingine bali namna nzuri ya kutumika katika maono ya mtu mwingine.


Others Also Bought

Uhai wa maono
Uhai wa maono
TZS 5,000
Add to cart
Mbeba Maono: Lango linalobeba hatima ya wengi
Mbeba Maono: Lango linalobeba hatima ya wengi
TZS 10,000 TZS 5,000
Add to cart

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.