Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Books
  • Swahili books
  • Dini
  • Kitabu cha Henoko Kilichokamilika

Kitabu cha Henoko Kilichokamilika

★★★★★ (1)
  10,000 TZS
Add to cart  

Baadhi ya vitabu vilivyotolewa katika Biblia Takatifu vimekuwa vikileta maswali mengi katika jamii yenye kumuamini Mungu. Katika vitabu hivyo kilicho maarufu kuliko vyote ni Kitabu hiki Cha Henoko mtu wa saba kuwepo Duniani baada ya Adamu.

Kitabu kina mambo mengi sana ya kujifunza na kutufundisha. Baadhi ya mambo muhimu, kinaeleza siri nyingi zilizofichwa watu wasizijue ambapo ni za muhimu sana tuzijue. Kwa mfano wapo Malaika 200 walioshuka kama miaka 500 iliyopita walipo watamani wanawake wa Kiafrika. Malaika hawa walijibadilisha miili na kuwa kama wanadamu, na kuwaoa wanawake wa binadamu na kuzaa watu wenye miili mikubwa sana. Watu hawa walianza kula wanadamu na walimalizana katika vita na walifutwa katika Gharika ya Nuhu.

Kinaeleza Malaika hawa waliwafundisha wanadamu nini? Mungu aliwafanyeje Malaika hawa. Nini Chanzo cha uchawi na kwa nini usiuamini? Yote haya yameelezwa katika kitabu kiki. Nini chanzo ya utoaji mimba na kutengeza silaha za kisasa yote yamo humu. Na mengine mengi sana usiyoyajua.

Pana siri na mambo mengi utakayoyajua ambayo yamefichwa usiyajue. Pia nimeeleza sababu kwa kirefu sana kwa nini kwa ujanja na hila za shetani, kitabu hiki kilitolewa.

Karibu ukisome, ninakuhakikishia utazijua siri nyingi sana zilizofichwa kwa kukisoma Kitabu hiki. Miaka 5000 iliyopita Mungu aliagiza kila mwanadamu akisome Kitabu hiki.

Karibu ukisome upate ujuzu adimu sana usioujua.


Others Also Bought

Mambo Muhimu kwa Mwalimu wa Biblia Unapoandaa Somo
Mambo Muhimu kwa Mwalimu wa Biblia Unapoandaa Somo
5,000 TZS 4,500 TZS
Mwangaza wa akili ya Bikira Maria ni dira
Mwangaza wa akili ya Bikira Maria ni dira
10,000 TZS
Usiyoyajua kuhusu Samsoni
Usiyoyajua kuhusu Samsoni
4,999 TZS
Historia ya Mitume wa Yesu na Vifo vyao
Historia ya Mitume wa Yesu na Vifo vyao
5,000 TZS 3,000 TZS

Customer reviews

★★★★★ 1 review

★★★★★
Bruno M., 28 Feb, 2025

Great book and supplied to me very fast

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
DL Bookstore © 2026. All rights reserved. | login