Kujua Majira na Nyakati katika Maisha yako
Usikubali kuishi maisha chini ya kiwango ambacho Mungu amekusudia uishi. Usikubali kuishi bila mwelekeo. Anza safari ya kubadili hatima yako leo - pata nakala yako sasa. Kitabu hiki ni jibu lako na njia ya kukutoa katika maisha ya ukawaida na kukuingiza katika maisha mapya ndani ya kusudi la Mungu.
Others Also Bought
Kuenenda Kwa Kuukomboa Wakati
Tambua majira na nyakati ili ufanikiwe