Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Kusifu na Kuabudu
Mada ya Kusifu na Kuabudu ni moja wapo ya mada muhimu zaidi katika Biblia ingawa ni mojawapo ya mada iliyopuuzwa zaidi.Hata hivyo katika miaka ya hivi karibuni, Mungu amekuwa akirudisha huduma hii kwa watu wake, kama ilivyotabiriwa na Yoeli.
Lengo la kitabu ni kusaidia, kuhamasisha watu kuweza kumsifu na kumwabudu wa Mungu kwa kanuni za kibiblia. Mungu anatafuta waabuduo ambao wanaabudu kwa roho na kweli. Kila Mkristo anapaswa kuwa na uhuru wa kutosha kufanya kila kitu biblia inatuhimiza kufanya, haswa katika eneo hili muhimu la kumpa Mungu ibada ambayo Yeye anastahili sana.
Mungu akubariki.