Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Maarifa juu ya maombi unayotakiwa kuomba
Maarifa juu ya maombi unayotakiwa kuomba ni kitabu kinachoweza msaidia mtu yeyote bila ya kujali hali yake ya kiroho. Kitabu hiki kinatoa mwanga, maarifa pamoja na kutoa majibu ya maswali na mitazamo mbalimbali kuhusu maombi yanayohitajika ili Mungu afanye kitu katika maisha yako ya kimwili na kiroho pia. Hii ni baada ya kufanya tathmini katika Roho Mtakatifu na kugundua kwamba iko idadi ya wakristo wengi wanaomba sana lakini si katika maarifa, hivyo kitabu hiki kitakuwa ni msaada mkubwa sana kwako ili uweze kuomba maombi yenye nguvu mbele za Mungu. Hosea 4:6a inasema "Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa;"