Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Dini
  • Maisha ya ushindi kwa kijana mkristo

Maisha ya ushindi kwa kijana mkristo

TZS 4,500


Add to cart  

“Maisha ya ushindi kwa kijana mkristo” ni ujumbe uliobeba mawazo na makusudi mema kabisa ya Mungu juu ya maisha ya kijana mwamini wa Yesu Kristo. Mwandishi anatushirikisha mambo kadhaa muhimu ambayo kijana yeyote mkristo anapaswa ayafahamu na kuyazingatia ili aweze  kuona kusudi la Mungu juu ya maisha yake linatimia na hivyo kuwa mshindi katika maeneo mbalimbali yahusuyo maisha yake.

Katika kitabu hiki, mwandishi kwa msaada wa Roho mtakatifu ameelezea siri iliyojificha juu ya nguvu na uthamani wa kijana katika ulimwengu wa roho, na namna ambavyo vijana wengi wakristo wameshindwa kuishi maisha ya ushindi kwasababu ya kutokufahamu nguvu iliyomo ndani yao na umuhimu/uthamani wao katika familia ya wakristo.

Kitabu hiki ni msaada kwa vijana wakristo katika kuweza kujitambua vyema na kuweza kuishi maisha ya ushindi.


Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.