Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Books
  • Swahili books
  • Dini
  • Methali na Uislamu

Methali na Uislamu

  5,000.00 TZS
Add to cart  

Katika safari ya uchambuzi wa methali za Kiswahili kwa mwanga wa Qur’ani na Sunna, tunaona jinsi hekima za mababu zetu zilivyolingana na mafunzo ya Kiislamu kwa namna ya ajabu na yenye kina.

Methali nyingi zinahimiza maadili mema kama vile, utu, subira, ukweli, kujituma, kuishi kwa mipaka tuliyowekewa, na kumcha Mwenyezi Mungu ni misingi mikubwa katika Uislamu. Ni wazi kwamba jamii za kale Zilikuwa na uelewa wa kina kuhusu maisha mema na walitumia methali kueneza maadili hayo.

Leo tunapoyatazama mafundisho haya kwa jicho la Kiislamu, tunagundua kuwa urithi wetu wa kitamaduni unaendana kikamilifu na mwongozo wa dini ya kiislamu na kusaidia  kuimarisha maisha ya kiroho na kijamii.


Others Also Bought

Meditation (Tahajudi kwa Wanaoanza)
Meditation (Tahajudi kwa Wanaoanza)
3,000.00 TZS

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
DL Bookstore © 2026. All rights reserved | Made with ❤️ in Tanzania.