Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Afya na ustawi
    • Dini
    • Fasihi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Maendeleo binafsi
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Health and wellness
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Books
  • Swahili books
  • Dini
  • Mungu Halisi

Mungu Halisi

  10,000.00 TZS

eBook
Add to cart  

"Nguvu ya uwepo ndani yetu"

Mungu halisi ni kitabu cha kiroho na kifalsafa kinacho mwalika msomaji kuchunguza uhusiano kati ya Mungu,mwanadamu na uumbaji,huku kikihimiza msomaji kujenga maisha yanayoongozwa na upendo,hekima,ukweli na uwajibikaji.

Kupitia tafakari,mifano na hoja za kifalsafa,kitabu kinazungumzia mada kama vile uwepo wa Mungu,uhusiano kati ya mungu na uumbaji,pamoja na umuhimu wa kuishi kwa amani na kusudi.

Badala ya kutoa majibu mepesi,kinamwalika msomaji kufanya tafakari na kukuza uelewa wake wa maswala haya.

Ikiwa unapenda vitabuvyaukuaji wa kiroho,falsafa na kujitambua,MUNGU HALISI ni mwongozo wa kutafakari kuhusu maisha,imani na nafsasi ya mwanadamu katika ulimwengu


Others Also Bought

Mambo Muhimu kwa Mwalimu wa Biblia Unapoandaa Somo
Mambo Muhimu kwa Mwalimu wa Biblia Unapoandaa Somo
5,000.00 TZS 4,500.00 TZS

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
DL Bookstore © 2026. All rights reserved | Made with ❤️ in Tanzania.