Mwanafunzi wa Injili
Katika kusoma kitabu hiki, mwandishi ameelezea kwa kifupi undani wa agizo la Yesu kristo na faida zake ambavyo vitakusaidia kufikia malengo na makusudi ya Mungu kwenye maisha yako
Imekuwa ni vema sana kwa mwandishi wa kitabu hiki kuwashirikisha wale watakaobahatika kukisoma kupata mwanga unaoweza kuwasaidia kuijua kweli zaidi na kuifanyia kazi.
Others Also Bought
My Life is a Gospel (Maisha yangu ni Injili)
3,000.00 TZS
Sheria Na Injili Katika Agano Jipya
5,000.00 TZS
Ramani ya vita kwa ajili ya mwanafunzi
3,500.00 TZS