Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Books
  • Swahili books
  • Dini
  • Nguvu ya msamaha

Nguvu ya msamaha

  TZS 10,000
Add to cart  

Katika kitabu cha “Nguvu ya Msamaha” Rev. Mtume Francis Epimack Mbago, anaelezea kwa undani kanuni ya msingi katika maisha ya ushindi wa mkristo: “Msamaha”. 

Kutokuijua au kuipuuzia kanuni hii kumesababisha watu wengi waishi katika mateso, magonjwa na maradhi yasiyo ya lazima. Kanuni hii ni karama, au kipawa ambacho Mungu anakitoa kwa watu wake awapendao ili kuleta furaha na amani katika maisha yao. 

Kanuni hii ni tiba kwa sumu ya moyo  inayoua taratibu bila kujulikana na watu wengi.


Others Also Bought

Siri ya Kusamehe na Kuachilia
Siri ya Kusamehe na Kuachilia
TZS 6,000
Add to cart

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.