Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Shangwe bethlehemu ya uyahudi
Shangwe Bethlehem ya Uyahudi ni kitabu kinachohusu historia ya Bwana Yesu.
Kulingana na mwandishi wa kitabu cha Mathayo katika Biblia, vizazi vyote tangu Ibrahimu hata Daudi ni vizazi kumi na vinne; na tangu Daudi hata ule uhamisho wa Babeli ni vizazi kumi na vinne; na tangu ule uhamisho wa Babeli hata Kristo ni vizazi kumi na vinne.
Kitabu kimeelezea kwa kirefu kwanini Yesu alizaliwa katika katika mji wa Bethlehem hususani kabila la Yuda. Pia ndani ya kitabu hiki mwandishi ametafsiri maana ya Zawadi tatu zilizotolewa na Mamajusi kwa mtoto Yesu, Yaani Dhahabu, Uvumba na Manemane