Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • Sign in
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Afya na ustawi
    • Dini
    • Fasihi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Maendeleo binafsi
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
    • Wasifu na Tawasifu
  • English books
    • Business and finance
    • Health and wellness
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Books
  • Swahili books
  • Dini
  • Si Kila unachopoteza ni hasara

Si Kila unachopoteza ni hasara

  10,000.00 TZS
Add to cart
Downloadable file How to buy

KWA NINI USOME KITABU HIKI?

Huenda kuna kitu umepoteza na bado hujui kwa nini kilitokea.

Huenda ni mtu, nafasi, ndoto, uhusiano, mali au muda ambao huwezi kuurudisha.

Kitabu hiki kimeandikwa kukusaidia kuelewa kwamba si kila unachokipoteza ni mwisho wa maisha yako.

Hapa utajifunza kuachilia yaliyopita, kupona bila kuwa na uchungu, kuacha kujilaumu, kuanza tena na kumtumaini Mungu hata wakati hujaelewa kila kitu.

Usikisome kwa haraka.

Kisome kwa moyo.

Tafakari kila sura, fungua maandiko, omba, na chukua hatua.

Huenda kile ulichodhani ni mwisho wa safari yako, Mungu anakitumia kuwa mwanzo wa jambo jipya.

SI KILA UNACHOKIPOTEZA NI HASARA.


Others Also Bought

Mduara wa dhambi
Mduara wa dhambi
5,000.00 TZS 3,999.00 TZS
Mambo 7 usiyoyajua kuhusu dhambi
Mambo 7 usiyoyajua kuhusu dhambi
4,999.00 TZS 1,500.00 TZS

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
  • Sign in
DL Bookstore © 2026. All rights reserved | Made with ❤️ in Tanzania.