Uhai wa maono
Kitabu hiki kitamsaidia kila msomaji kujua maono na kuyatimiza na ndoto kuwa maisha halisi. Mahali pa tajiri zaidi ulimwenguni sio mgodi wa dhahabu wa Afrika Kusini, sio visima vya Mafuta vya Nigeria, sio mgodi wa Silver wa Amerika, lakini ni MAKABURINI.
Makaburi Yana mamilioni ya mawazo, maono na ndoto ambazo hazikutimia, yana vitabu ambavyo havikuandikwa, nyimbo ambazo hazikuimbwa, magari ambayo hayakutengenezwa, majengo na minara ambayo haikujengwa na kadhalika.
Mapenzi ya Mungu Kwa maisha yako ni yapi? Soma kitabu hiki cha ‘Uhai wa Maono’ hautabaki kama ulivyokuwa. Ingia ndani ya kitabu soma kuanzia ukurasa wa kwanza hadi wa mwisho ukutane na jibu lako.
Recommended for you

Mbeba Maono: Lango linalobeba hatima ya wengi

Nguvu ya Maono kwa Mwanadamu
TZS 5,000

Chochea Kipaji Chako

Yusufu nina ndoto
TZS 10,000