Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Dini
  • Umeumbwa kwa kusudi

Umeumbwa kwa kusudi

TZS 5,000


Add to cart  

Kama vile mtu anaefika katika kituo cha mabasi (stand) na asijue wapi anaenda, upo uwezekano mtu huyo kupanda gari lolote lile”, kinachokufanya uchague gari lipi upande ni lile eneo unaloliendea.

Ndivyo ilivyo kwa watu wengi hapa duniani, hawana taharifa sahihi za wapi wametoka na wapi wanaenda, na hii huwasababisha kushindwa kuwa wao (original) na kuwa kopi ya watu wengine (photocopy) na wanasahau kabisa kuwa waliumbwa kwa kusudi maalumu lisilofanana na mwingine yeyote yule.

Katika kitabu hiki utajifunza kuhusu kusudi la kuumbwa kwako na namna ya kulitambua kusudi uliloumbiwa, pia utaweza kuona uhusiano uliopo kati ya majira na kusudi, ndoto na kusudi, na uhusiano kati ya kusudi na majaribu. Kitabu hiki kitakusaidia kuvuka katika mambo mengi ya kiroho na kimwili.


Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.