Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Dini
  • Utimilifu wa majuma 70 ya unabii wa kitabu cha Danieli na unabii wa siku za mwisho

Utimilifu wa majuma 70 ya unabii wa kitabu cha Danieli na unabii wa siku za mwisho

TZS 7,000


Add to cart  

Utimilifu wa majuma 70 ya unabii wa kitabu cha danieli na unabii wa siku za mwisho unafunua vyema majira na nyakati tulizo nazo za siku za mwisho. Huku tukitazamia unyakuo wa kanisa, mpinga kristo na kipindi cha mpinga kristo yaani juma la 70, miaka 7 ya dhiki kuu, matukio  ya dhiki kuu na matukio baada ya dhiki kuu.

Dhumuni kuu la kitabu hiki ni kuwaandaa waamini kujua majira na nyakati na kujiweka tayari ili waweze kupona na nyakati mbaya za kutisha zitakazo anza hivi punde tu baada ya unyakuo wa kanisa. Kitabu hiki kimejikita sana katika sura moja ya kitabu cha danieli yaani danieli sura ya tisa (Danieli 9:1-27).


Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.