Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Fasihi
  • Chura wa Kijeshi

Chura wa Kijeshi

TZS 5,000
Add to cart  
Hapo mwanzo chura alikuwa na muonekano mzuri sana, ngozi nyororo na sauti yenye mvuto wa kipekee, hakika alivutia.

Chura huyu alijaliwa kuwa  na vipaji vingi mojawapo ya vipaji hivyo lni utambaji wa hadithi loo alikuwa na hadithi tamu sana. Hadithi zake zilijaa mafunzo na maonyo ya kutosha. Chura alikuwa na umahiri wa hali ya juu katika kufikisha ujumbe  kwa wasikilizaji wake kwani aliongea kwa madaha na kutoa msisimko wa kipekee kwa wasikilizaji kiasi cha kufanya watu wengi wampende na kutembelea makazi yake.

Lakini nyuma ya sifa zote nzuri za Chura huyu kulikuwa na siri nzito!  Chura alikuwa mwanaharakati, nyuma ya  harakati hizo kulikuwa na agenda. Fuatana na mtunzi kupata uhondo zaidi.


Others Also Bought

Chozi la Mama
Chozi la Mama
TZS 5,000
Add to cart
Sikitiko
Sikitiko
TZS 10,000
Add to cart

Cart

Cart is empty.

Log in

Incorrect password.




Forgot password?
Create an account
Login to existing account
My orders
My reviews
My details
Log out
  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.