Kusanya vipande vyake
Kusanya Vipande Vyake ni
hadithi nzuri ya kiswahili inayomuhusu binti mmoja anaye julikana kwa jina la Furaha. Ni binti mkorofi, jeuri, kisirani, na mwenye chuki na dharau nyingi sana. Hakuna mtu anaye mpenda, na pia hajali watu wakimchukia, yupo na maisha yake binafsi ambayo watu wengi hua hawamuelewi. Ni hadithi nzuri sana na ya
kusisimu, itakayo kupa funzo kubwa maishani, na kukufanya uweze kuyatazama maisha kwa jicho la tofauti, na uanze kichukua tahadhari
ambazo pengine umekua
ukizipuuzia. Fuatana nami hadi mwisho wa hadithi hii tamu, na ya kusisimua, tukajifunze
vitu kupitia maisha ya Furaha.
Others Also Bought
 
                                                                                            
                                                Fungate
                                            
                                        
                                                                                    
                                                                                                                                                        TZS 10,000
                                                                                            
                                                                             
                                                                                            
                                                Malipo ya Dhambi
                                            
                                        
                                                                                    
                                                                                                                                                        TZS 7,000
                                                                                            
                                                                            