Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Mheshimiwa the Don
Mabrook, alimaarufu The Don ni mtu mwenye jina Kubwa sana nchini. Kwanza kwa sababu ni miongoni mwa mawaziri wachapakazi na anayekubalika sana kwa wananchi wa rika zote lakini pia ni mtu wa watu, anayetoa misaada mingi kwa raia Ni kiongozi anayepewa nafasi Kubwa ya kushika madaraka ya juu zaidi nchini.
Pamoja na hayo,
mheshimiwa Mabrook si mtu wa kawaida kwa Kila hali. Akihusishwa na ushirikina
unaosababisha mauaji ya kutisha ya albino, viungo vya binadamu na mauaji
"ya watu maarufu.
Kisasi cha mapenzi
kinaibua maozo yote ya mheshimiwa The Don. Machera ni mpelelezi makini
anayeibua uozo huo kwa kushirikiana na mwanaharakati wa haki za binadamu Maisha
Nchagwa.