Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Maendeleo binafsi
  • A Noble Girl of Nowadays

A Noble Girl of Nowadays

TZS 9,999

Paperback eBook
Add to cart  

Ili binti ufaidikaje na hiki kitabu kuna maeneo kama saba hivi ya kuzingatia: -

  1. Kitabu hiki kimepangiliwa kwa binti kukisoma kwa siku 30, sio lazima iwe hivyo ila kwa kuwa wasichana wengi hupata uvivu wa kusoma, nimekupa njia rahisi ya kukisoma lakini pia upate muda wa kutafakari kila hatua unayopitia humu.
  2. Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha mbili mchanganyiko yaani Kiswahili ambacho ndio asilimia kubwa na Kiingereza kwa asilimia chache. Hii yote ni ili kuongeza ladha na maana ya maudhui ya kitabu hiki upenyo kwa msichana.
  3. Ndani ya hiki kitabu kwa kila mwanzo wa Mada kuna kibwagizo kinaitwa LADHA KUNTU. Kibwagizo hiki ni lugha ya picha inayotoa ufupisho wa kile ambacho mwandishi atakizungumzia kwa hiyo Mada. Hata na hivyo Neno LADHA hapa linatumika likimaanisha MSICHANA.
  4. Ndani ya hiki kitabu kuna Nukuu ya MAANDIKO MATAKATIFU yaani BIBLIA, Nukuu ya Kauli ambazo walizitoa watu mbalimbali, maelezo ya kina ya mambo mbalimbali. Hivyo unashauriwa unaposoma uwe na Biblia yako na Mahali pakuandikia yanayotakayogusa moyo wako.
  5. Kuna eneo kila mwishoni mwa SIKU/MADA linaitwa CONFESSION and AFFIRMATION hili ni eneo la UKIRI na MAOMBI hakikisha unasoma kwa sauti hiki kipengele maana ni sehemu ya maombi yako kwa Mungu akuvushe kwa hicho kipengele.
  6. Eneo lingine linalopatikana mwishoni mwa kila Mada ni USHAURI ELEKEZI hiki ni kipengele kinachokusaidia juu ya Nini cha kufanya kwenye hilo Eneo husika ili UPONE.

Na mwishoni kabisa kwa kila siku/mada ya siku kuna eneo linaitwa TAFAKARI hili linakupa wasaa wa Kutafakari kwa kina juu ya Mada husika na ninaamini katika hiyo TAFAKARI ni lazima upige hatua


Recommended for you

Kwako binti ambaye bado hujaolewa
Kwako binti ambaye bado hujaolewa
TZS 10,000
View options
Mambo 11 kutoka kwa wanawake waliofanikiwa
Mambo 11 kutoka kwa wanawake waliofanikiwa
TZS 10,000
View options
Barua kwa binti
Barua kwa binti
TZS 7,000 TZS 5,000
View options
Mwanamke na ndoto
Mwanamke na ndoto
TZS 15,000 TZS 5,000
View options

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.