Amka Haujachelewa
Je umekwama kimaisha? Umekwama kifedha? Unahisi kupoteza matumaini?
Jibu lako ni NDIO?
Uko sehemu sahihi na uamuzi wa kusoma kilichoandikwa humu ni hatua ya kwanza katika kutatua changamoto zako.
Hatua za kitabu hiki kifupi nazo pia ni fupi na zinazotekelezeka.
Ukianza kuzifuata maisha yako yataanza kubadilika siku baada ya siku, mwezi baada ya mwezi na mwishowe mafanikio,furaha na amani vitakuwa vyako.
Ndani ya kitabu hiki utajifunza masuala muhimu unayopaswa kuyafanyia kazi au kuyaboresha ili uweze kufanikiwa zaidi.
Masuala kamavile mahusiano na watu, namna ya kuimarisha nishati ya utendaji wako, vigezo muhimu ili upate fedha na mafanikio na kikubwa zaidi utajifunza kutumia siku 21 kuanza kupata mafanikio.
Karibu sana, anza safari hii njema.
Recommended for you
Usijizuie kufanikiwa
TZS 10,000
Mafanikio Ni Haki Yako
TZS 4,999
Ushindi katika hali ngumu