Inawezekana
Kupitia hadithi halisi, nukuu zenye msukumo, na mafundisho ya kiroho na kimaisha, Abel J. Ngeleja anakufundisha kuwa hakuna hali isiyobadilika. Haijalishi changamoto zako — kukataliwa, kufeli, ulemavu, au maumivu ya mahusiano — bado inawezekana kusimama tena, kupambana, na kutimiza ndoto zako. Hiki ni kichocheo cha mafanikio kwa yeyote anayekaribia kukata tamaa.
Soma kitabu hiki… na ujue kweli kwamba INAWEZEKANA!
Recommended for you

Ushindi katika hali ngumu

Ukweli wa Maisha
TZS 10,000