Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Jinsi ya kufanikiwa katika uongozi
Ni kitabu ambacho nimekiandika mahususi kwa kila kiongozi au mtu anayetaka kuwa kiongozi bora. Kila kitu kinachofanywa kwa ubora lazima kifanikiwe. Ili uweze kuwa bora lazima ujifunze kufanya vitu sahihi, kwa wakati sahihi na kwa watu sahihi na mahali sahihi.
Moja wapo ya sifa ya kiongozi mzuri ni kupenda watu,kuwa na maono, kuwa na uwezo wa kugawa madaraka na kuwa na uwezo wa kuinua viongozi watakaochukua nafasi baada yako. Pia katika kitabu hiki nimechambua zaidi ya vikwazo ishirini vinavyoweza kuzuia huduma yako isifanikiwe.