Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Kufanyika kuwa Kiongozi
Kufanyika kiongozi ni mchakato wa kutayarishwa, kuandaliwa na kufunzwa, na kuendelea kujifunza.
Lengo la kitabu hiki ni kukusaidia uweze kugundua na kupalilia uwezo wa uongozi ulio ndani yako na ufanyike kiongozi yule ambaye Mungu amemkusudia.
Katika kitabu hiki utapata nafasi ya kujifunza masomo mbalimbali muhimu kama vile maana ya uongozi, tofauti kati ya uongozi na usimamizi, msingi wa uongozi, kanuni za kiutendaji katika uongozi, kanuni za kiutumishi katika uongozi, na kanuni za kimaadili katika uongozi.