Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Maendeleo binafsi
  • Kujua Majira na Nyakati katika Maisha yako

Kujua Majira na Nyakati katika Maisha yako

TZS 5,000

Paperback eBook
Add to cart  

Kujua Majira na Nyakati katika maisha yako ni kitabu ambacho kimebeba hamasa itakayomsaidia msomaji kujitambua yeye ni nani? Anapaswa kuwa wapi na afanye nini?

Na katika kila jambo kuna wakati wake na majira yake, hivyo yapo mambo mengi katika maisha yetu ambayo hayaendi kama inavyopaswa yaende ni kwa sababu yamefanywa nje ya wakati wake muafaka.

Utakapokisoma kitabu hiki utapata hamasa ya kutafuta kujua ni wakati gani wa kufanya jambo unalotaka kulifanya, na utapata msukumo wa kimungu wa kutekeleza jambo hilo.

Pia, inawezekana yapo mambo mengi ambayo ulipaswa kufanya kwa wakati lakini bahati mbaya ukajikuta umeyafanya nje ya wakati, kupitia kitabu hiki utajua nini cha kufanya katika mazingira kama hayo.

Na zaidi sana utajifunza jinsi ambavyo unapaswa kufanya baada ya kuomba kwa kujua kuwa Mungu pia anayo mengi anataka kusema nawe.


Recommended for you

Kuenenda Kwa Kuukomboa Wakati
Kuenenda Kwa Kuukomboa Wakati
TZS 4,000 TZS 2,000
View options

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.